Przejdź do treści

Maajabu YA Sanduku La Dhahabu: Furaha na huzuni kwenye maisha yaliyounganishwa na safina na yaliyomo ndani yake

Doris Irish Lacks

Wydawca: TEACH Services, Inc.

Druk
EN
2020

Maajabu YA Sanduku La Dhahabu: Furaha na huzuni kwenye maisha yaliyounganishwa na safina na yaliyomo ndani yake Mahali fulani mashariki ya kati, sanduku la dhahabu la maajabu lilifichwa kutoka kwenye macho ya binadamu kwa maelfu ya miaka. Hakuna anayejua sehemu lilipo, lakini wengi walilitafuta, wakitumai kuwa mmoja wa watakaotatua siri: 'Liko wapi sanduku la agano?' Hadithi ya safina ilianza, sio wakati inatengezwa chini ya maelekezo ya Musa kwenye jangwa, lakini mbinguni, katikati ya vita kati ya shetani na Mungu. Matunda ya vita ilikuwa ni dunia iliyoanguka, majibu ya wokovu wetu ni sehemu ya sababu safina kutengenezwa. Yaliyomo ndani ya sanduku la agano ni kitovu cha maisha yaliyojazwa kwa neema ya Kristo. Siku moja, wakati Yesu atakapokuja tena na kuonyesha sehemu iliyofichwa safina, maajabu ya muda mrefu yatatatuliwa. Lakini, kwa wakati huu, hapa kwenye hadithi ya safina ya dhahabu, na vitu vyake maalumu vilivyomo, na matokeo yake, sio tu kwa wale walioiona lakini kwa wale kati yetu watakaokuwepo humu duniani wakati wa mwisho. Autor: Doris Irish Lacks Wydawnictwo: Teach Services, Inc. Rok wydania: 2020 Okładka: miękka Liczba stron: 102 Wymiary: 19 x 40 x 0.3 cm Ilustracje: 9 Illustrations Język: angielski ISBN: 9781479611850

Aktualne ceny

Brak informacji o cenach

Historia cen (ostatnie 30 dni)

Brak historii cen